Next Steps in Luganda

30 Days Next Steps - In LugandaLuganda IntroductionLuganda 1Luganda 2Luganda 3Luganda 4Luganda 5Luganda 6Luganda 7Luganda 8Luganda 9Luganda 10Luganda 11Luganda 12Luganda 13Luganda 14Luganda 15Luganda 16Luganda 17Luganda 18Luganda 19Luganda 20Luganda…

Siku ya 1: Mabadiliko ya Kibinafsi

Ni nini hasa kinachotokea wakati mimi kujitoa kwa kumfuata Yesu? Katika kufanya uamuzi huu wa muhimu;  - Unakubali dhambi zako za kuishi kwa kujitegemea kutoka kwa Mungu.- unatubu, na kugeuka kwa Mungu na mbali na njia yako ya zamani…

Siku ya 2: Kuanza Safari

Naweza kutarajia nini katika safari yangu? 'Baba tumefika?' Hilo ni swali watoto wetu walikuwa wakiuliza wakati wao walikuwa wadogo, kama tunaenda katika safari ndefu na gari. Niilikuwa nawaeleza kuwa kuna masaa mengi mbele lakini pia wawe na…

Siku ya 3 Mungu hufanya kazi Ndani alafu Nje

\Nifanye nini kwanza? Siku za kwanza katika safari yetu, tunahitaji kuelewa tofauti kati ya dini na uhusiano. Labda umeona dini njia inaweza kuwa na sheria ya msingi, kali na namna ya kuishupazia shingo. Kwa upande mwingine, uhusiano wetu na Ye…

Siku 4: Biblia ni neno Kwa miaka yote

Msingi bora kwangu ili nikue kiroho ni upi? Sikuwa nikiona Biblia kama aina ya rafiki ambayo sasa imekuwa. Kabla ya mimi kuokoka nilikuwa nikipata Bibilia ikiwa na utata, hata siri, kwa sababu nilijaribu kusoma kutoka ukurasa wa 1, kama kitabu…

Siku ya 5: Mungu ni Upendo

Jinsi gani naweza kuwa na uhakika wa upendo wa Mungu? Billy Graham, mwinjili mkubwa, alisema, 'ninaposoma Biblia zaidi, ninatambua kwamba Upendo ni uso kuu ya Mungu.' Nimepata wakati mwingine, kama wewe, ambapo najihisi kuwa mbali na upend…

Siku ya 6: Kujibu Kwa Mungu

Je, mimi nitajubu aje kwa Mungu? Tuseme wewe unatembea katika msitu mnene, na ukaenda mbali njia na kupoteza njia yako. Usiku unaingia na kunakuwa na giza na baridi. Hauna chakula au maji. Unatembea kwa uoga na mashaka mbele katika giza, na hak…

Siku 7: Maana ya Maisha

Nini ni muhimu katika maisha? Watu hutafuta maana ya maisha katika njia nyingi. Mali. nguvu. Hali. Mali. Ingawa inavutia kama haya yanaweza kuwa, watu ambao wamezipata maishani huwa hawajaridhika. Mara nyingi si mpaka miaka yetu ya baadaye amba…

Siku 8: Kwa nini siku 30?

Lini mabadiliko mazuri yataanza? Wakati sisi tunafanya aina yoyote ya marekebisho muhimu katika maisha yetu, siku 30 za kwanza ni muhimu. Mafunzo yanaonyesha inachukua hii muda kumwaga tabia ya zamani, au kuanzisha tabia ingine nzuri. Kwa hivyo…