Siku 18: Wafanyakazi pamoja naye

Ni kazi gani ambayo Mungu anataka mimi nifanye? Je, unafikiri Mungu yu hai, anafanya kazi na kushiriki? Inashangaza, 'miungu' katika karibu kila dini isiyo ya Kikristo ni watazamaji tu, au viumbe vya mikono au tu takwimu za kihistoria. Yes…

Siku 19: kukusanyika pamoja

Ni nani ambaye Mungu amenihusisha naye? Karibu na kulea uhusiano wa karibu na Bwana, fanya kipaumbele cha kujiunga na waumini wengine. Vikundi vya waumini, au 'makanisa,' huja katika vifungo vingi. Wao huwa katika vikundi mbalimbali ndogo…

Siku 20: Ibada

Kwa nini ni muhimu  nimsifu na kumwabudu Yesu? Wakati waumini wanamtukuza Yesu kwaa kuimba, je, ni kwa sababu Mungu, Mfalme wa ulimwengu, anahitaji ibada ya wanadamu? Si kweli, ingawa tunaweza kuwa na uhakika kuwa Mungu hufurahia katika ib…

Siku 21: Maombi

Je, mimi nitawasiliana aje na Baba yangu aliye mbinguni? Ni fursa ya kweli kusema binafsi na Bwana wa mbingu na ardhi wakati wowote! Wanafunzi wa Yesu waliona kiasi cha wakati ambacho Alitumia na Baba yake wa mbinguni. Siku moja waliuliza,…

Siku 22: Majaribio

Kwa nini ninaendelea kuwa na mawazo haya? Ustahimilivu na uharibifu wa nguvu unafanya kazi katika maisha ya kila muumini. Majaribio ni athari inayoendelea kutuvuta kwa maisha yetu ya zamani, na tabia yake ya yote mbaya. Lengo lake ni kuzuia kut…

Siku 23: Kumtumaini Mungu kwa masiku ya jayo.

Siku zangu za usoni ziko salama mikononi mwake? Wakati mimi na Wendy tulianza familia yetu, tulitumia muda mrefu tukikuzungumza juu ya aina ya dunia ambayo watoto wetu watazaliwa. Lakini kwa hayo yote, tulikuwa na ujasiri kuwa siku zijazo ziko…

Siku 24: Mtazamo wa Milele

Je, mimi nitaweka aje umakini wangu kwa yale ambayo ni ya kudumu na muhimu zaidi? Ni vigumu kwetu, kama tunasomea mtihani, kubadilisha nepi ya mtoto au kufunga mpango wa biashara, kuwa na mawazo mengi ya milele. Zaidi ya muda, lengo letu ni kuf…

Siku 25: Mwito

Jinsi gani naweza kumtumikia Mungu katika kazi yangu? Wito letu la msingi ni daima kwa Kristo. Os Guinness katika Wito anasema, 'Kwanza kabisa tumeitwa kwa Mtu (Mungu), si kwa kitu ... au mahali fulani.' Lakini anaongeza kuwa pia Mungu anatuita…

Siku 26: Katika, lakini si ya ...

Je, mimi nitadumisha aje ulinganifu wangu katika maisha ya kila siku? Moja ya changamoto kubwa ya maisha ya kikristo ni kuhusiana na dunia yetu, hasa katika hali ya ushirikiano wafanyakazi na marafiki huishi katika njia ambazo ni mgeni na kanun…

Loading…
Loading the web debug toolbar…
Attempt #