Siku 9: Msaidizi

Jinsi gain ambayo mimi ninatakikana kuishi maisha ya Kikristo? Kuna wale ambao hawajaelewa, na hao hufikiria kuwa baada kuwa muamini wanaweza kuendelea kuishi maisha yao kivyao. Mimi wakati mwingine huanguka katika mtego huo, nikifikiri juwezo…

Siku 10: Nia mpya

Ni nini maana ya kufanya upya mawazo yangu? Kama halijatokea tayari, utapata unakabiliwa na mawazo mabaya. Mimi najua. Ingawa Nimetembea na Kristo kwa miaka mingi, bado kuna mara ambapo mimi humenyana na mitizamo kama ubinafsi, kiburi na ukosef…

Siku 11: Kupenda Wengine

Je, ni kweli kuwa unaweza kuwa na upendo kwa wengine? Amri ya pili iliyo kuu ya Mungu ni, 'Mpende jirani yako kama nafsi yako' - Mathayo 22 39. (Amri ya kwanza ni kumpenda Mungu -. Moyo, akili, nafsi na nguvu) Mimi naona kwamba kupenda wen…

Siku 12 Kujipenda

Je, nitajipenda aje? Hapa ni 'mshangao' kutokana na somo la jana: kiini cha kupenda wengine ni kwa kupenda -kuwa tayari-mwenyewe! 'Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' Lakini siyo rahisi. Baadhi ya watu huwachanganya kujipenda…

Siku 13: Kuachana na Ya Kale

Nitaushughulikia aje nyakati ngumu na majaribu? Je, kuwa mfuasi wa Kristo humaanisha huta pata shida? Hapana hautapelekwa kimiujiza mahali ambapo hautapata matatizo wakati wewe unazaliwa mara ya pili. Badala yake, utakuwa kiwanja cha vita, amba…

Siku 14: Kumpinga shetani

Je, mimi mpinga aje shetani?  Siku moja hoja moto ilizuka kati ya mameneja wawili katika kampuni yetu. Kulichosababisha pingo hilo? Sikuwa na fununu! Jioni hiyo, nilipokuwa ninasoma kitabu kiitwacho Kushughulika na Ibilisi, nilielewa…

Siku 15: Kudumu: Moyo wa Maisha ya Kikristo

Je, mimi nitakaa aje karibu na Yesu? Kama ninaweza kuonyesha hamu yangu namba moja ile ningependa mchukue kutoka kwa somi hili, itakuwa hili kua na maisha ambayo imeshikamana na Yesu. (Jina katika Bibilia ni 'kukaa'). Kaeni katika Yeye. Ingawa…

Siku 16: kufurahia Bwana

Je, kuna lengo muhimu kwa maisha? 'Bwana Mungu wenyu aliye kati yenu, Mwenye nguvu, ataokoa; Yeye atawafurahia kwa furaha, Atawapa utulivu kwa upendo wake, atawafurahia kwa kuimba' - Sefania 3:17. Je, unaweza kuona Baba yetu wa mbinguni akikufu…

Siku ya 17: Ukweli: Kifunguu cha Uhuru

Kwa nini ukweli ni jambo? Fikiria kuwa unazungumza na Mtume Paulo kama mnakunya kahawa. Unamuuliza, 'Paulo ni nini kinachokufanya wewe kujaribu kufikia kila mtu na injili?' Yeye anaweza kusema, 'Kwa kuwajulisha ukweli kwamba kuna Mungu mmo…